Mrembo wa Nigeria ashinda miss Afrika

0
251

Mlimbwende wa Nigeria Precious Okoye @preciousokoye ameshinda taji la Urembo la Afrika (Miss Afrika) mwaka 2022.

Okoye mwenye miaka 27 ameibuka mshindi katika shindano ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo ambapo warembo 20 wamepanda jukwaani kuwania taji hilo.

Okoye anakuwa mnigeria wa kwanza kushinda taji hilo la urembo la Afrika