Dkt. Samia apokelewa White House

0
102

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais Joe Biden wa Marekani mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Washington D.C, ambapo kulia ni Jill Biden, mke wa Rais huyo wa Marekani.

Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo nchini Marekani, kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa viongozi wa nchi za Afrika na Marekani.