Upambaji wa mti Krismasi

0
274

Shamrashamra za msimu wa Krismasi na mwaka mpya huambatana na kupambwa kwa maeneo na nyumba kwa mapambo mbalimbali ya Krismasi.

Mti Krismasi ni moja ya mapambo pendwa zaidi ya Krismasi ambapo haswa mti wa kijani huning’inizwa taa zenye kuwaka waka, nyota, visanamu vidogodogo na urembo mwingine.

Lakini Je! Unafahamu kuwa zipo namna nyingi za kupamba nyumba yako kwa mti Krismasi wa tofauti na bado ukapendeza na kuleta mwonekano mzuri.