Kongamano la Kiswahili

0
54

Wadau mbalimbali wa lugha ya Kiswahili wanashiriki katika kongamano la Kiswahili la miaka 61 ya Uhuru linalofanyika kwenye ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu Dodoma.