Kitaifa KIKAO CHA KAMATI KUU By Hamis Hollela - December 5, 2022 0 145 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo.