Rais Samia Mhitimu maalum

0
68

Maazimio ya Seneti na Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyopitishwa katika kikao cha 876, yamependekeza kutunukiwa Shahada ya Juu ya Heshima ya Falsafa kwa Rais Samia Suluhu Hassan.