MKURUGENZI MTENDAJI VODACOM ATEMBELEA TBC

0
102

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom – Tanzania, Philip Besiimire ametembelea ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania @tbc_online kwa lengo la kujitambulisha, ambapo pia amepata fursa ya kuzungumza na viongozi wa shirika hilo na kujionea shughuli mbalimbali zinazoendelea ikiwemo studio mpya inayotumika kutangazia michuano inayoendelea ya Kombe la FIFA la Dunia @tbc_michezo.

In the spirit of getting things done together, today Vodacom Managing Director @besiimp visited @TBConlineTZ where he met the DG
Dr. Ayub Rioba Chacha whereby apart from discussing various things, Vodacom MD had a chance of touring the studio which included the newly one used for casting the ongoing World Cup tournament @tbc_michezo.