Kesi ya mauaji Njombe yasogezwa mbele

0
864

Watuhumiwa watatu wa kesi ya mauaji ya watoto watatu mkoani Njombe wamesomewa kwa mara ya pili kesi yao na kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 11 mwezi March mwaka huu