Mechi za leo Kombe la Dunia

0
609

Hatupayuki Wala hatuna Wenge.

Mbungi nyumbani Buuree kwa lugha adhimu ya Kiswahili na watangazaji waliotulizana!

Fuatilia mechi kali leo wawakilishi wawili wa Afrika Cameroon na Ghana wakishuka dimbani dhidi ya Uswiss na Ureno.

Burudani yote itakujia kupitia TBC1, TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online.