Kamati Kuu ya CCM yakutana

0
93

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kikao kilichofanyika mkoani Dodoma.