Kitaifa Chama lako la Afrika ni lipi? By Adrina mariki - November 20, 2022 0 82 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Saa 1:00 jioni leo Mbungi itaanza kutimua vumbi jijini Doha nchini Qatar ambapo nchi 5 kutoka Afrika zitashiriki ambazo ni Ghana, Senegal, Tunisia, Morocco na Cameroon. Kati ya nchi hizo, ipi ni chama lako unaloliunga mkono?.