Uzinduzi wa Kampeni ya upandaji miti rafiki wa maji

0
158

Kampeni ya upandaji miti rafiki wa maji inazinduliwa leo mkoani Mbeya na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, huku ikiwa imebeba kauli mbiu inayosema kuwa “utunzaji endelevu wa Vyanzo vya maji kwa ustawi wa jamii na ukuaji wa uchumi”.

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amepanda mti rafiki wa maji katika chanzo cha maji cha Nzovwe kilichopo Kata ya Mwakibete mkoani Mbeya.