Mataifa yaliyoshinda Kombe la Dunia kwa idadi

0
130

Fahamu, ni mataifa nane pekee yaliyoshinda Kombe la Dunia tangu kuanzishwa kwa fainali hizo mwaka 1930.

Bado siku 9, kaa tayari kutazama na kusikiliza Fainali za Kombe la Dunia kupitia TBC buuree kuanzia Novemba 20 – Disemba 18.