Kitaifa Majaliwa aongoza kikao cha Mawaziri By Clement Silla - November 8, 2022 0 94 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo ameongoza kikao kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.