KimataifaKitaifa Rwanda yawapa pole watanzania By TBC - November 7, 2022 0 133 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Paul Kagame wa Rwanda ametuma salamu za pole kwa watanzania wote na kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kufuatia ajali ya ndege iliyotokea Bukoba mkoani Kagera na kusababisha vifo vya watu 19.