Breaking: Ndege ya Precision yaanguka Ziwa Victoria

0
967

Ndege ya Precision Air iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kupitia Mwanza imedondoka katika Ziwa Victoria kutokana na kukumbwa na mvua kubwa na upepo mkali.

TBC imezungumza na Charles Mwebeya kutoka katika eneo hilo ambapo amesema zoezi la uokoaji wa abiria linaendelea katika eneo hilo ikiwemo kuitoa ndege hiyo ziwani.

Endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi.