BODI YA TBC YABISHA HODI SERENGETI

0
323

Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo Stephen Kagaigai na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayub Rioba Chacha wakiwa kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara.

Katika picha kutoka kulia ni Mkuu wa Kanda ya Ziwa Victoria (TBC) Zablon Mafuru, Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Hao Luo, Makamu Mwenyekiti wa Bodi Tuma Abdallah, Mwenyekiti wa Bodi Stephen Kagaigai, mkuu wa wilaya ya Serengeti Dkt. Vincent Mashinji na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayub Rioba Chacha.