KimataifaKitaifa Rais Samia kufanya ziara China By Adrina mariki - October 27, 2022 0 229 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2 hadi 4 mwezi Novemba mwaka huu kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping wa Taifa hilo.