Malkia Maxima afika Ikulu

0
144

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Malkia Maxima wa Uholanzi, ambaye pia ni Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya mfumo jumuishi wa fedha katika maendeleo.

Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu, Dar es Salaam leo Oktoba 19, 2022.