Yanga chali Ligi ya Mabingwa

0
195

Al hilal wamehakikisha Yanga haitetemi Khartoum.

Ni ushindi kwa Al hilal na kujihakikishia kutinga hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Al hilal imeibamiza Yanga goli 1 – 0 nyumbani, goli lililofungwa mapema dakika ya tatu na Mohamed Abdelhaman.

Yanga na Al Hilal walitoka sare ya goli 1 – 1 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam hivyo Al Hilal imeibuka na ushindi wa jumla ya magoli (2-1)

Yanga sasa itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika.