Kitaifa Rais Samia kwa hayati Dkt. Magufuli By Judith Ene Laizer - October 15, 2022 0 369 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan akikagua jengo la Makumbusho la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Chato mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. Rais Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Chato mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. Rais Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli ambaye ni mama mzazi wa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.