Kiapo cha ubunge kwa Angellah Kairuki

0
218

Angellah Kairuki alipokuwa akiapishwa kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla iliyofanyika katika ofisi ndogo ya bunge mkoani Dar es Salaam mapema hii leo.

Baada ya kuapishwa kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Angellah Kairuki ameapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ikulu, Dar es Salaam.

Hapo jana, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Angellah Kairuki kuwa Mbunge na Waziri wa TAMISEMI.