Kitaifa Uapisho wa Viongozi mbalimbali By James Range - October 1, 2022 0 194 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan, amuapisha Msajili wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama Kuu, Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma