Tija na usalama wa mradi wa bomba la mafuta

0
181

Kongamano la kujadili ‘Tija na usalama wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani, Tanga’.

Ni Jumamosi Oktoba Mosi 2022 kuanzia Saa 9:00 alasiri.

Matangazo haya yatakujia moja kwa moja (mbashara) kupitia TBC1, TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC Online