Kikao maalum cha halmashauri kuu

0
108

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan, leo ameongoza kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Taifa, katika ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM Dodoma.