Zawadi kutoka Tanzania

0
133

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro unaopatikana nchini Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.