Tuzungumze kibunge

0
137
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakijadiliana mambo mbalimbali wakati wa kikao cha nane cha mkutano wa 8 wa Bunge la 12 linaloendelea na vikao vyake mkoani Dodoma.

Mbali na kipindi cha maswali na majibu, leo Bunge litafanya uchaguzi wa wawakilishi wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki na pia litajadili muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali za fedha.