Mazungumzo ya wabunge

0
85

Baadhi ya wabunge wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa kikao cha 7 cha mkutano wa 8 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea mkoani Dodoma.

Baada ya kipindi cha maswali na majibu, Bunge litapokea taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya sheria ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria hizo kama zilivyofanyia marekebisho katika mkutano wa sita na wa saba wa bunge.