Manara aibukia Bungeni

0
88

Aliyekuwa Msemaji wa klabu ya soka ya Yanga Haji Manara akiwa na msaidizi wake Rushina Ahmed ni miongoni wa wageni waalikwa katika kikao cha tano cha mkutano wa nane wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Haji amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Kujihusisha na masuala ya soka kwa kipindi cha miaka 2 na kulipa faini ya shilingi milioni 1o