Kitaifa Mazungumzo kabla ya kikao cha Bunge By James Range - September 15, 2022 0 145 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Baadhi ya wabunge wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa kikao cha tatu cha mkutano wa 8 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkaoni Dodoma. Hii leo Bunge litajadili Muswada wa sheria ya usimamizi wa Rasilimali za Maji wa mwaka 2022.