KITABU CHA MAOMBOLEZO

0
118

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana, amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, katika ofisi za ubalozi wa Uingereza nchini zilizopo mkoani Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.