Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo hii leo, kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza kilichotokea jana huko nchini Scotland.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika makazi ya Balozi wa Uingereza nchini, yaliyopo Oysterbay mkoani Dar es Salaam.