Watuhumiwa wa mauaji Njombe wafikishwa mahakamani

0
833

Watuhumiwa watatu wa matukio ya mauaji ya watoto mkoani Njombe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe.

Mmoja wa watuhumiwa hao ni Joel Nziku anayetuhumiwa kuhusika na mauaji ya watoto watatu wa familia moja katika eneo la Ikando kwenye halmashauri ya wilaya ya Njombe.