Kimataifa Tete a tete By TBC - September 7, 2022 0 114 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda, mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Kigali.