Kitaifa Maendeleo ya ujenzi Mtumba By TBC - September 5, 2022 0 125 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 5, 2022 amekagua ujenzi wa majengo ya wizara mbalimbali katika mji wa serikali Mtumba jijini Dodoma.