Kitaifa Rais Samia ateta na bosi wa UNHCR By TBC - August 26, 2022 0 114 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.