Nyama yawakusanya wahadzabe Sensa

0
165

Wahadzabe wa kijiji cha Qangdend kitongoji cha Murusi wilayani Karatu mkoani Arusha, wakiwa wamejitokeza kuhesabiwa baada ya serikali kuwapatia mahitaji waliyoomba ya nyama pori.