Kitaifa Rais Samia ahesabiwa Chamwino By TBC - August 23, 2022 0 127 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na karani wa sensa Phausta Ntigiti, wakati alipokuwa akihesabiwa katika makazi yake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Agosti 23, 2022.