Kitaifa Picha: Rais Samia amaliza ziara mkoani Iringa By TBC - August 13, 2022 0 135 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Wananchi wa Isimani waliojitokeza kumuaga Rais Samia Suluhu Hassan Mbunge wa Isimani Williama Lukuvi akizungumza na wananchi wa jimbo wakati Rais Samia Suluhu Hassan akimaliza ziara yake mkoani Iringa Chifu Adam Mkwawa II akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari wa TBC Khalid Gangana wakati wa kumuaga Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Iringa