Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Chegeni kuwa mkuu wa mkoa wa Mara na kumteua Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa mkuu wa mkoa wa Mara.
Kabla ya uteuzi huo meja Jenerali Suleiman Mzee alikua Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza.
Uapisho wa viongozi hao utafanyika Kesho tarehe mosi Agosti, 2022