Uteuzi Makatibu Tawala wa Mikoa

0
182

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi Makatibu Tawala wa mikoa 10 na wengine tisa kubakia kwenye vituo vyao vya kazi.

Uapisho wa viongozi hao utafanyika Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe Agosti Mosi mwaka huu.