KimataifaMichezo Julietha Singano kukipiga Mexico By Hamis Hollela - July 26, 2022 0 192 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Nyota wa Simba Queens Julietha Singano ametambulishwa rasmi na Klabu yake mpya ya FC Juarez ya nchini Mexico. Julietha ambaye hucheza nafasi ya mlinzi wa kati anatambushwa hii leo na klabu hiyo baada ya taratibu za uhamisho kukamilika.