Balozi mpya Zambia

0
140

Rais Samia Suluhu Hassan amempangia kituo Balozi Luteni Jenerali Mathew Mkingule, ambapo anakwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia.