Kitaifa Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP By Clement Silla - July 20, 2022 0 118 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan amepandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.