Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji wa Orkesumet uliopo Simanjiro mkoani Manyara, ambao utekelezaji wake umegharimu shilingi bilioni 41.5.
Dkt, Mpango pia amekagua chanzo cha maji katika eneo la Eltibu na kujionea mtambo wa kusafisha maji katika mradi huo uliopo eneo la loiborsoit.
Akizungumza na Wananchi wa Loiborsoit mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi huo wa maji wa
Orkesumet, Makamu wa Rais amewataka kuendelea kulinda mazingira, ili kutopoteza chanzo cha maji kilichopo katika eneo hilo kinachotegemewa katika mradi huo mkubwa.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.