MAKAMU WA RAIS ZIARANI UGANDA

0
147

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dodoma wakati akiondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma kuelekea Kampala Nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Februari 1,2022