RC Mgumba ahimiza upandaji miti

0
146

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba amezindua rasmi kampeni ya upandaji wa miti katika Mkoa wa Songwe kwa kupanda miti katika shule ya sekondari Songwe girls iliyopo Wilayani Momba

Aidha Mkuu wa Mkoa huyo amesema miti 1000 imepandwa katika uzinduzi huo na kwamba kampeni hii ni indelevu katika Wilaya zote za Mkoa

Mgumba pia amewataka waalimu kuhakikisha kuwa kampeni hii ya upandaji miti inahusiha wanafunzi ili kupata ari na moyo wa utunzaji wa Mazingira