Klabu ya soka ya Simba imeiadhibu Selem View ya Unguja magoli 2-0 katika mashindano ya Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar.
Magoli ya Simba yamefungwa na Pape Sakho dakika ya 25’ na Rally Bwalya na kuipeleka timu hiyo kileleni mwa group C la michuano hiyo.
Selem View imepoteza mchezo wake wa pili baada ya kufungwa magoli 2-0 na Simba Sc katika mchezo Januari 5 mwaka huu.