Defao afariki Dunia

0
3013

Mwanamuziki mahiri wa Miondoko ya Rhumba, Le General Defao Matumona (62) amefariki Desemba 27, 2021 akiwa Douala, Cameroon.

Defao ni mwanamuziki mwenye kipaji ambaye alijizolewa umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kutunga na kuimba kwa sauti ya kipekee muziki wa Rhumba.

Defao alizaliwa mwaka 1958, Nyumbani kwao Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.