Kitaifa Rais John Magufuli amjulia hali mama yake anayeugua By TBC - December 30, 2018 0 1256 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wasaidizi wake wakimuombea Mama yake Mzazi Bibi. Suzana Magufuli anayepatiwa Matibabu Jijini Dar es Salaam. Desemba 30, 2018.